Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt.
Eliezer Mbuki Feleshi akizindua Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za
utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi, jana mkoani Morogoro. Katikati
ni Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto ambaye pia ni Jaji wa Mahakama
Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Paul Kihwelo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara
ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi aonesha vitabu vya Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi aliyouzindua jana mkoani Morogoro.
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto ambaye pia ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Paul akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Wajumbe wa Mabaraza ya Kata na Vijiji wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanja akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Wajumbe wa Mabaraza ya Kata na Vijiji wakiwa katika picha ya pamoja na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi (katikati-waliokaa) mara baada ya kuzindua Mwongozo wa kuendesha Mafunzo ya njia mbadala za utatuzi wa migogoro ihusuyo ardhi jana mkoani Morogoro.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni