Jumamosi, 13 Machi 2021

WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA WAIPONGEZA MAHAKAMA

 Waanza Ziara Kukagua Miradi ya ujenzi wa Majengo ya Mahakama

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Mwigulu Nchemba akielezea jambo kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati wabunge hao walipokuwa wakikagua jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa mkoani Dodoma ambalo liko katika hatua za mwisho za ukamilishwaji wake. Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome akifuatiwa na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Mathias Kabunduguru. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mipango na Ufuatiliaji wa Mahakama ya Tanzania Bw. Erasto Uisso. 

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Bw. Mathias Kabunduguru akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria . Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Geofrey Pinda. 
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakikagua jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa. Pichani wabunge hao wakikagua ukumbi wa wazi wa Mahakama hiyo.

Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa mkoani Dodoma kama linavvoonekana katika picha likiwa katika hatua za mwisho za ukamilishwaji wake. 

Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa mkoani Dodoma kama linavvoonekana katika picha. 

Ukumbi wa wazi wa jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa mkoani Dodoma kama linavvoonekana katika picha. 

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba Sheria wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Mahakama mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa  jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa. 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni