Alhamisi, 25 Machi 2021

MATUKIO KATIKA PICHA MAZISHI YA ALIYEKUWA HAKIMU MKAZI MFAWIDHI-GEITA

Aliyekuwa Hakimu mstaafu wa Mkoa wa Geita, Elisha Sabuka, alizikwa hivi karibuni katika makaburi ya kijijini kwao Mwingilo, Mkoani Geita, na kuhudhuriwa na watu mbalimbali na baadhi ya viongozi wa Serikali.

Sehemu ya Wananchi walioshiriki katika mazishi ya marehemu Sabuka aliyefariki Machi 17, 2021 akiwa nyumbani kwake Bomani,Geita baada ya kuugua ugojwa wa moyo, atakumbukwa kwa uchapaji kazi yake alipokuwa mfanyakazi kwenye mahakama ya Mkoani humo.


BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.

 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni