Jumatano, 30 Juni 2021

MAHAKAMA INAENDELEA KUTOA HUDUMA ZAKE KATIKA MAONESHO YA KIBIASHARA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

 UPATIKANAJI WA HAKI KWA WAKATI, CHACHU YA UKUAJI WA UCHUMI WA VIWANDA.

MATUKIO KATIKA PICHA WAKATI WA UTOAJI HUDUMA MBALIMBALI ZA KIMAHAKAMA.

Naibu Msajili Mfawidhi wa Mahakama ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam, Mhe. Charles Magesa akitoa maelezo kwa wadau waliofika katika mabanda ya Mahakama wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.

Mchumi wa Mahakama ya Tanzania Bi. Zawadi Ngonde akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kupata huduma wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Mchumi wa Mahakama ya Tanzania Bi. Zawadi Ngonde akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kupata huduma wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Clarence Muhoja akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kupata huduma wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Kifungu Mrisho akitoa maelezo kwa wateja waliofika kupata huduma wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Kifungu Mrisho akitoa maelezo kwa mteja aliyefika kupata huduma wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Moja ya mdau aliyetembelea Mahakama inayotembea kujionea na kupata maelekezo ya jinsi inavyofanya kazi wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.
Baadhi ya picha zikionekana za Mahakama mtandao wakati wa usikilizaji wa mashauri wakati wa maonesho ya 45 ya Biashara ya Kitaifa mnamo Juni 29, 2021.

Watoa huduma katika Banda la Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) wakitoa huduma kwa mteja alifika bandani hapo.

Picha na Innocent Kansha - Mahakama


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni