Jumapili, 4 Julai 2021

MAHAKAMA INAENDELEA KUTOA ELIMU YA HUDUMA ZAKE KATIKA MAONESHO YA SABASABA

 MATUKIO KATIKA PICHA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA MAONESHO YA 45 YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM


Baadhi ya wananchi wanaotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Baadhi ya wananchi wanaotembelea Mahakama inayotembea kujionea njisi inavyofanya kazi zake za utoaji haki kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam


Hakimu Mkazi Mhe. Josephita Kinyondo akitoa maelezo kwa wananchi wanaotembelea Mahakama inayotembea kujionea njisi inavyofanya kazi zake za utoaji haki kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Wananchi wakipewa huduma za kisheria katika Banda la Chama ya Mawakili Tanganyika (TLS) ikiwa ni sehemu ya huduma za kimahakama kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Mchambuzi wa Mifumo ya Komputa wa Mahakama ya Tanzania Delifina Mwakyusa akitoa ufafanuzi kwa wananchi namna mifumo hiyo inavyoisaidia Mahakama wakati wa usikilizaji wa mashauri mahakamani kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Hakimu Mkazi Mhe. Anipha Mwingira akitoa ufafanuzi kwa wananchi waliotembelea banda la Mahakama namna Chama cha Mahakimu na Majaji wananwake Tanzania (TAWJA) kinavyotoa huduma zake za kisheria kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Hakimu Mkazi Mhe. Mohamed Buruhan akitoa ufafanuzi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo cha usuluhishi kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Hakimu Mkazi Mhe. Kagaruki Jeremiah akitoa ufafanuzi wa jambo linalohusu mgogoro wa ardhi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Baadhi ya wananchi wanaotembelea Banda la Mahakama ya Tanzania wakisaini kitabu cha wageni kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Baadhi ya wananchi wanaotembelea Banda la Miaka 100 ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakipewa maelezo ya historia ya Mahakama na Hakimu Mkazi Mhe. Kifungu Mrisho kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Mmoja ya mwananchi aliyetembelea Banda la Maboresho ya Mahakama ya Tanzania ili kupewa elimu juu ya maboresho yanayoendelea kutekelezwa na Mahakama kwenye Maonyesho ya 45 ya Kibiashara ya Kitaifa Jijini Dar es salaam

Picha na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano cha Mahakama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni