Jumatatu, 23 Agosti 2021

ELIMU YA MIRATHI YAANZA KUTOLEWA SHULE ZA SEKONDARI

MAHAKAMA YA WILAYA YA TEMEKE IMEENDELEA NA PROGRAMU YA KUTOA ELIMU YA HAKI MIRATHI WAJIBU WANGU KWA NGAZI YA SHULE ZA SEKONDARI NDANI YA MANISPAA YA TEMEKE.

KAMPENI HIYO ITAENDESHWA KATIKA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI KWA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU NA NNE ILI KUWAJENGEA UELEWA WA MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU MIRATHI.

KATIKA UTOAJI WA ELIMU HIYO MAHAKAMA INASHIRIKIANA NA OFISI YA RITA WILAYA YA TEMEKE NA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA.

Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke Mhe. John Mashauri Ngeka akitoa elimu kwenye kampeni ya Haki Mirathi wajibu wangu kwa Wananfunzi wa kidato cha tatu na nne wa Shule ya Sekondari Mbade iliyopo Manispaa ya Wilaya ya Temeke, Jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2021

Baadhi ya Wananfunzi wa kidato cha tatu na nne wa Shule ya Sekondari Mbade iliyopo Manispaa ya Wilaya ya Temeke, Jijini Dar es salaam wakimsikiliza mtoa elimu ya Haki Mirathi wajibu wangu (hayupo pichani)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni