Jumanne, 14 Septemba 2021

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE AMTEMBELEA MTENDAJI MKUU WA MAHAKAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine (kushoto) akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel, alipowasili ofisini kwake Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam leo Septemba 14, 2021.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na mgeni wake Balozi Sokoine.

(Picha na Mary Gwera, Mahakama)

 

 

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni