Ijumaa, 3 Septemba 2021

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA AKAGUA SHUGHULI ZA MAHAKAMA KANDA YA MWANZA

 

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Wilbert Chuma akizungumza na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Magu (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kukagua shughuli za Mahakama. Katika ziara hiyo, Mhe. Chuma amehimiza matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), uzingatiaji maadili na bidii katika kazi.

Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Wilbert Chuma akiwasikiliza watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Magu (hawapo pichani) alipozungumza nao.
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Wilbert Chuma akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Magu.
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Wilbert Chuma (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Magu mara baada ya kuzungumza nao.
Watumishi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita na Mahakama ya wilaya ya Geita wakimsikiliza Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Wilbert Chuma alipozungumza nao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni