Alhamisi, 16 Septemba 2021

MWAKILISHI UMOJA WA MATAIFA AMTEMBELEA MTENDAJI MKUU MAHAKAMA YA TANZANIA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel, akisalimiana na Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Zlatam Milizic, alipowasili ofisini kwake Mahakama ya Rufani jijini Dar es Salaam Septemba 15, 2021.

 

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Zlatam Milizic, akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel, akielezea jambo wakati alipokutana ofisini kwake na Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Bw. Zlatam Milizic.


(PICHA NA LYDIA CHURI - MAHAKAMA)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni