Jumatano, 2 Februari 2022

MATUKIO KATIKA PICHA; MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI KANDA YA SONGEA

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Songea, Mhe. Sekela Moshi akikagua gwaride kuashiria uzinduzi rasmi wa mwaka mpya wa Mahakama kwa mwaka 2022. Ukaguzi huu umefanyika katika maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2022 leo tarehe 02.02.2022.

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Songea, Mhe. Sekela Moshi akizungumza wakati wa kilele cha Siku ya Sheria nchini leo tarehe 02.Februari 2022.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kanda ya Songea wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini.

Picha ya pamoja na Watumishi wa Mahakama-Kanda ya Songea; Katikati ni
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea, Mhe. Sekela Moshi, wa pili kulia ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Songea, Mhe. Upendo Madeha, wa pili kushoto ni Mkuu ya Wilaya ya Songea, Mhe.  Pololet Mgema na wa kwanza kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea na wa kwanza kulia ni Mtendaji wa Mahakama Kuu-Kanda ya Songea, Bw. Geofrey Mashafi.


Maandamano ya Watumishi wa Mahakama Kanda ya Songea kuadhimisha Siku ya Sheria nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni