Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya PAMS Foundation, Bi.
Krissie Clark wa (kwanza kushoto), Mkurugenzi wa Operationi na Mafunzo, Bw.Samson Kassala na Mkurugenzi wa Intelijensia na Uchambuzi, Bw.Elisifa Ngowi wote wa taasisi hiyo wakipitia mkataba
wa makubaliano na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto(IJA) kuhusu
ushirikiano wenye lengo la kuwajengea
uwezo maafisa wa Mahakama wa namna bora ya kuendesha mashauri ya makosa dhidi
ya wanyama pori na uhalifu wa kimataifa.
Mkurugenzi wa Operationi na Mafunzo, Bw.Samson Kassala(
wa kwanza kushoto)na na Mkurugenzi wa
Intelijensia na Uchambuzi,(wa pili kushoto) Bw.Elisifa Ngowi wakifuatilia utiaji saini huo.
Mkurugenzi wa Operationi na Mafunzo, Bw.Samson Kassala
akisaini mkataba huo.
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, ambaye pia ni
Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) Mhe. Dkt. Paul Kihwelo (kulia)
akimpatia machapisho mbalimbali ya IJA Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya PAMS
Foundation, Bi. Krissie Clark wa
(kushoto).
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, ambaye pia ni
Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) Mhe. Dkt. Paul Kihwelo (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya PAMS Foundation, Bi. Krissie
Clark wa (kushoto), wakibadilishana mkataba huo.
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, ambaye pia ni
Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) Mhe. Dkt. Paul Kihwelo akizungumza jambo.
Mkurugenzi wa Operationi na Mafunzo, Bw.Samson Kassala
(katikati)akizungumza jambo.
(Picha na Magreth Kinabo)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni