Jumamosi, 2 Julai 2022

MAHAKAMA TANZANIA YAENDELEA KUTOA HUDUMA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA 46 SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM

 Habari katika picha na matukio mbalimbali ya Maonesho ya Sabasaba tarehe 2 Julai, 2022.

Sehemu ya Walimu na Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya Mahakama Inayotembea mara baada ya kutembelea mabanda mbalimbali ya watoa huduma za kimahakama katika maonesho ya kimataifa ya 46 ya Sabasaba leo Julai 2, 2022.

Sehemu ya Walimu na Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa wanapewa maelezo na Hakimu Mkazi kutoka Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia - Temeke, Mhe. Samoni Swai wakati walipotemebelea mabanda ya Mahakama ya Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya 46 ya Sabasaba Jijini Dar es salaam leo Julai 2, 2022.

Sehemu ya Walimu na Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa wanapewa maelezo na Hakimu Mkazi Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia - Temeke, Mhe. Saimon Swai wakati walipotemebelea mabanda ya Mahakama ya Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya 46 ya Sabasaba Jijini Dar es salaam leo Julai 2, 2022.

Sehemu Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa wanapokea maelezo kutoka kwa Hakimu Mkazi Mhe. Mohamed Burhani wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo cha Usuluhishi

Sehemu Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa wanapokea maelezo kutoka kwa Hakimu Mkazi Mhe. Mohamed Burhani wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo cha Usuluhishi.

Sehemu ya Walimu na Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wakimsikiliza muhadhiri Mwandamizi wa Chuo hicho, Dkt. Kevin Mandopi (aliyenyoosha kidole) walipotembelea banda hilo.

Sehemu ya Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la Maboresho ya huduma za Mahakama wakimsikiliza mtoa huduma Bw. Robert Tende (wa kwanza kulia) wakati walipotembelea banda hilo

Sehemu ya Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) wakipewa elimu na Mhe. Mwanakombo Twalib (mwenye ushungi) kutoka chama hicho.

Sehemu ya Wanafunzi 48 wa Shule ya Msingi Kisukuru Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa katika banda la Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi wakipewa maelezo kutoka kwa Hakimu Mkazi Mhe. Suzana Mwiguru.

Mawakili kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) (wa kwanza na pili kulia) wakiendelea kutoa huduma za sheria kwa wananchi waliofika kupata huduma katika banda hilo.

 


Sehemu ya wakazi wa Jijini Dar es Salaam waliofika katika Mabanda ya Mahakama ya Tanzania wakijisajili ili kupata huduma mbalimbali zinazotolewa katika maonesho ya Kimataifa ya 46 ya Sabasaba leo Julai 2, 2022.

( Picha na Ibrahim Mdachi na Innocent Kansha)




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni