Alhamisi, 1 Septemba 2022

MAJAJI WAPYA WAANZA KUNOLEWA MAFUNZO ELEKEZI YA KIUTENDAJI

Maeneo ya mafunzo hayo yaliyoanza kutolewa kwa Majaji ni Utamaduni wa maisha ya utekelezaji wa majukumu ya kimahakama. Jinsi ya utekelezaji mengi bila kuathiri kiwango na ubora wa kazi na Masuala ya taratibu, kanuni na miongozo inayowalinda Majaji katika kutekeleza kazi zao za kila siku.

Mhe. Balozi Charles Sanga akitoa mada ya taratibu, kanuni na miongozo inayowalinda Majaji katika kutekeleza kazi zao za kila siku jana tarehe 31 Agosti, 2022 katika Ukumbi wa mafunzo Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto.

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada  Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Usalama wa Serikali Bi. Leah Mgana  akitoa mada ya Usalama wa Ofisi za Umma (hayupo picha)


 Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Martin Chuma akitoa mada ya Utamaduni wa maisha ya utekelezaji wa majukumu ya kimahakama.

Bw. Godfrey Benjamin Wawa  akitoa mada ya Jinsi ya utekelezaji wa shughuli nyingi bila kuathiri kiwango na ubora wa kazi katika Ukumbi wa mafunzo Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA) Lushoto.

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada Mhe. Balozi Charles Sanga   (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza na kuchukua maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mafunzo Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Edward Rutakangwa (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Martin Chuma (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mada ya Jinsi ya utekelezaji wa shughuli nyingi bila kuathiri kiwango na ubora wa kazi  kutoka kwa Bw. Godfrey Benjamin Wawa (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada Bw. Godfrey Benjamin Wawa (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada  Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Usalama wa Serikali Bi. Leah Mgana  akitoa mada ya Usalama wa Ofisi za Umma (hayupo picha)

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Usalama wa Serikali Bi. Leah Mgana  akitoa mada ya Usalama wa Ofisi za Umma 

 Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza mtoa mada Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Martin Chuma akitoa mada ya Utamaduni wa maisha ya utekelezaji wa majukumu ya kimahakama.

Sehemu ya Majaji wakiwa wanamsikiliza Naibu Mkurugenzi wa Ofisi ya Usalama wa Serikali Bi. Leah Mgana  akitoa mada ya Usalama wa Ofisi za Umma (hayupo picha)

(Picha na Innocent Kansha na Ibrahim Mdachi - Mahakama, Lushoto)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni