TANZIA
Mhe Dkt. John Harold
Kulimba Utamwa enzi ya Uhai wake
JAJI MFAWIDHI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA KANDA YA IRINGA MHE. DKT. JOHN HAROLD KULIMBA UTAMWA AMEFARIKI
DUNIA LEO TAREHE 02/01/2023 KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI, BAADA YA
KUUGUA.
MAREHEMU JAJI DKT. UTAMWA ALIKUWA AKIPATIWA
MATIBABU KWENYE HOSPITALI HIYO AMBAPO ALIKUWA AMELAZWA. TAARIFA NYINGINE KUHUSU
MSIBA HUU ZITATOLEWA BAADAYE.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE
LIHIMIDIWE
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni