Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (aliyesimama) akizungumza na watumishi wa Mahakama hiyo waliohamia Dodoma kwa ajili ya kuungana naye na watumishi wengine ambao walishatangulia.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na kundi lililoungana naye na watumishi wengine waliotangulia baada ya kuhamia katika Makao Makuu ya Mahakama jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati mstari waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wanawake wa Mahakama ya Tanzania ambao wamehamia Dodoma kuungana naye na watumishi wengine waliotangulia.
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania walihamia Dodoma kuungana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (hayupo katika picha) aliyetangulia na watumishi wengine wakifuatilia hotuba yake katika Ukumbi Mdogo wa Mahakama hiyo jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati mstari waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya Mahakama ya Tanzania ambao wamehamia Dodoma kuungana naye na watumishi wengine waliotangulia.
Picha na Tiganya Vincent na Arapha Rusheke- Mahakama
-Dodoma.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni