Jumatano, 4 Oktoba 2023

MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI MAFUNZO ELEKEZI YA MAJAJI WAPYA.

Matukio Mbalimbali katika Picha ya hafla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi ya Majaji 24, ikiwemo wanne (4) wa Mahakama Rufani na 20 wa Mahakama Kuu yanayoendelea kufanyika Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto mkoani Tanga.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (mwenye tai nyekundu) akipokelewa na Viongozi Wakuu Waandamizi wa Mahakama ya Tanzania alipowasili Chuo cha Uongozi wa Mahakama - Lushoto mkoani Tanga kufunfua mafunzo elekezi ya Majaji wapya wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani tarehe 2 Oktoba, 2023.
 
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (mwenye tai nyekundu) akisalimiana na Viongozi Wakuu Waandamizi wa Mahakama ya Tanzania alipowasili Chuo cha Uongozi wa Mahakama - Lushoto mkoani Tanga kufunfua mafunzo elekezi ya Majaji wapya wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani tarehe 2 Oktoba, 2023.

Meza Kuu ikiongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (katikati) wakati wa halfa ya uzinduzi wa Mafunzo elekezi ya Majaji wapya.

Sehemu ya Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

Sehemu ya Viongozi waandamizi wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto na sehemu ya Wakufunzi wa mafunzo hayo wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Wilbert Martin Chuma akifafanu jambo mbele ya waadishi wa habari kuhusu mafunzo hayo.

Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mtendaji wa Mahakama ya Rufani Bw. Victor Kategere (mbele) wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

Sehemu ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) 

(Picha na Innocent Kansha - Mahakama)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni