Na Magreth Kinabo -Mahakama
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania,Mhe. Dkt. Mary Caroline Levira amesema kuna haja ya kufanyia marekebisho Sheria Ndoa vifungu 56,58 na 60 vinavyoruhusu mwanandoa kumiliki mali binafsi ili kuwezesha mali hizo kutoingizwa kwenye mirathi.
Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 26 Januari ,2024 na Jaji huyo wakati akitoa mada kubadilishana uzoefu katika kushughulikia mashauri ya mirathi na ndoa kwenye mafunzo ya ndani yaliyofanyika katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia (Temeke) jijini Dar es Salaam,ambapo alisema iwapo mwanandoa anapofariki mali binafsi zina lindwaje, kwa kuwa ni eneo linaloleta matatizo mengi na changamoto.
“Hili ni eneo linalohitaji mabadiliko ya sheria, kwani ya sasa hairuhusu ili mwanandoa aweze kupata haki zake kwa sababu katika ndoa kuna mali binafsi za mwanandoa ambazo hazitakiwi kujumuishwa kwenye mirathi. Na hapa ndipo wasimamizi wa mirathi wana kazi ya kufanya ili kubaini mali anazoleta kwa ajili ya mgawanyo kuhakikisha ni za marehemu,” alisema Mhe.Dkt Levira.
Akizungumzia kuhusu mtoto wa nje ya ndoa aliachwa kwenye urithi alisema sheria ya kiislamu na kimila haziruhusu kupewa urithi, lakini Sheria ya Mtoto inampa haki, huku akirejea kesi ya Hadija Said Matika .Akijibu hoja iliyoibuliwa na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wa kituo hicho, Mhe. Asina Omary ambaye alisema kwa mtoto ana miaka 65 aliyeachwa je? anastahili urithi alisema Mahakama itoa maamuzi ikiwa msimamizi wa mirathi atamwingiza kwenye mgawanyo wa mali kulingana na mazingira na wala haitagawa mali za marehemu.
“Msiogope kufanya maamuzi katika kesi za namna hii, kinachotakiwa ni kuangalia mazingira kesi, toa maamuzi na ueleze sababu kwani kuna maeneo mengi yana matatizo na sheria hazijabadilishwa kwa kuwa maamuzi yenu yanaweza kufanya mabadiliko ya sheria, hivyo
Hukatazwi kupingana na uamuzi wowote,” alisisitiza.
Kwa upande wake Jaji Mfawidhi wa Kituo hicho, Mhe. Mwanabaraka Mnyukwa akitoa mada ya makosa madogomadogo yanayofanywa na mahakama za chini wakati wa usikilizwaji wa rufaa alisema kuna umuhimu wa kuangalia sababu za maombi ya kuongezewa muda wa kukata rufaa kwenye kesi hizo, kama zinakidhi takwa la kisheria hili lisiwe kigezo cha ucheleweshaji.
Mhe.Mnyukwa pia aliwakumbusha wadau wa mafunzo hayo kuwa katika suala la ushahidi ni vema shahidi akaapa kwa dini yake na ukaandikwa na kusainiwa ili kuweka rekodi vizuri.
Naye Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nancy Barthy alisema ni vizuri kutumia maneno sahihi wakati wa utoaji hukumu na tuzo,hivyo ni lazima kuwa makini ya tuzo na hukumu zinazotolewa. Pia vielelezo vinavyotolewa viwe vimepitia hatua tatu kisheria.Mada nyingine iliyotolewa ni majadiliano kuhusu msimamo wa pamoja katika kushughulikia usikilizwaji wa mashauri ya ndoa na mirathi.
Awali akifungua mafunzo hayo, Mhe.Mnyukwa alisema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo ili kuboresha utendaji kazi na yatakuwa yanatolewa marakwamara. Mafunzo hayo yamehusisha Majaji,Naibu Wasajili na Mahakimu wa Wilaya ya Temeke.
Caption
Picha namba 3348 ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania,Mhe. Dkt. Mary Caroline Levira akitoa mada ya uzoefu wa usikilizaji wa kesi zinazohusu masuala ya mirathi na Familia.(kushoto) ni Hakimu wa Wilaya ya Temeke,Mhe. Sifa Jacob.
Picha namba 3343ni Baadhi ya Majaji wakiwa katika mafunzo hayo wa (na kwanza kulia, Jaji Mfawidhi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia , Mhe. Mwanabaraka Mnyukwa na wa (pili kulia) Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Asina Omary na wa (pili kushoto) ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nancy Barthy. Wengine ni Baadhi ya Mahakimu wa Wilaya ya Temeke.
Picha 3207 ni Jaji Mfawidhi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia , Mhe. Mwanabaraka Mnyukwa(katikati) akifungua mafunzo hayo.(Kulia) ni Naibu Msajili Mahakama Kuu Masjala Ndogo Temeke,Mhe. Frank Moshi (kushoto) ni Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Temeke, Mhe. John Msafiri.
Picha namba 3181

Naye Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nancy Barthy alisema ni vizuri kutumia maneno sahihi wakati wa utoaji hukumu na tuzo,hivyo ni lazima kuwa makini ya tuzo na hukumu zinazotolewa. Pia vielelezo vinavyotolewa viwe vimepitia hatua tatu kisheria.Mada nyingine iliyotolewa ni majadiliano kuhusu misimamo wa pamoja katika kushughulikia usikilizwaji wa mashauri ya ndoa na mirathi.
Awali akifungua mafunzo hayo, Mhe.Mnyukwa alisema lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo ili kuboresha utendaji kazi na yatakuwa yanatolewa marakwamara. Mafunzo hayo yamehusisha Majaji,Naibu Wasajili na Mahakimu wa Wilaya ya Temeke.
Baadhi ya Majaji wakiwa katika mafunzo hayo wa (na kwanza kulia, Jaji Mfawidhi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia , Mhe. Mwanabaraka Mnyukwa na wa (pili kulia) Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Asina Omary na wa (pili kushoto) ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Nancy Barthy. Wengine ni Baadhi ya Mahakimu wa Wilaya ya Temeke.
Jaji Mfawidhi wa Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki cha Masuala ya Familia , Mhe. Mwanabaraka Mnyukwa(katikati) akifungua mafunzo hayo.(Kulia) ni Naibu Msajili Mahakama Kuu Masjala Ndogo Temeke,Mhe. Frank Moshi (kushoto) ni Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Temeke, Mhe. John Msafiri.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni