Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watendaji wa Mahakama Kusini na Mashariki mwa Afrika(SEAJAA)ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa SEAJAA na Mkurugenzi Mtendaji wa Mahakama ya Namibia, Bw. Benhardt Kukuri (kushoto) mara baada ya kuwasili ofisini kwake jijini Dares Salaam.Katibu huyo amewasili nchini kwa ajili ya kikao cha kamati tendaji kitakachofanyika kesho.
Katibu Mkuu wa SEAJAA na Mkurugenzi Mtendaji wa Mahakama ya Namibia, Bw. Benhardt Kukuri (kushoto)akizungumza jambo na Mwenyekiti wa SEAJAA ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia)
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watendaji wa Mahakama Kusini na Mashariki mwa Afrika(SEAJAA)ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) na Katibu Mkuu wa SEAJAA na Mkurugenzi Mtendaji wa Mahakama ya Namibia, Bw. Benhardt Kukuri (kushoto) wakiwa wamesimama katika bango la Mradi wa Maboresho ya Mahakama ya Tanzania.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watendaji wa Mahakama Kusini na Mashariki mwa Afrika(SEAJAA)ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania,Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa SEAJAA na Mkurugenzi Mtendaji wa Mahakama ya Namibia, Bw. Benhardt Kukuri (kushoto)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni