Kamati ya Jaji Mkuu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na TAKWIMU tarehe 18 Desemba, 2024 ilitembelea Kituo cha Taifa kwa ajili ya Utunzaji Data na Mifumo kwa Njia ya Kimtandao (National Internet Data Center-NIDC) kujifunza na kuona namna taarifa za kidigiti zinavyohifadhiwa pamoja na huduma zinazotolewa na Kituo hicho.
Matukio katika picha ya ziara hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni