Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju leo tarehe 27 Oktoba, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Misheni ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections). Mazungumzo hayo yamefanyika kwenye ukumbi wa mikutano-Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Matukio katika picha ya mazungumzo kati ya Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections).
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju akizungumza na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) waliomtembelea Jaji Mkuu leo tarehe 27 Oktoba, 2025 Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju akizungumza jambo na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) waliomtembelea Jaji Mkuu leo tarehe 27 Oktoba, 2025 Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections), Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe akizungumza jambo wakati wa mazungumko katika ya Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (hayupo katika picha) na Waangalizi hao wa Uchaguzi Mkuu, 2025.


Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza jambo wakati wa kikao cha mazungumzo kati ya Jaji Mkuu na ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) waliomtembelea Jaji Mkuu leo tarehe 27 Oktoba, 2025 ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Mtendaji Mkuu Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) na Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya wakifuatilia mazungumzo kati ya Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju na Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) leo tarehe 27 Oktoba, 2025 kwenye ukumbi wa mikutano wa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) leo tarehe 27 Oktoba, 2025 walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Aliyeketi kushoto ni Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections), Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na sehemu ya Viongozi wa Mahakama walioshiriki katika mazungumzo kati ya Jaji Mkuu na Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections) leo tarehe 27 Oktoba, 2025 Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Aliyeketi kushoto ni Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections), Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections), Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe (kushoto). Aliyeketi kulia ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel.
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. George Masaju (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Observers for 2025 General Elections), Dkt. Speciosa Wandira Kazibwe (kushoto). Aliyeketi kulia ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya.
(Picha na MARY GWERA, Mahakama-Dodoma)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni