Na WAANDISHI WETU-Mahakama, Dodoma
Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
George Masaju, leo tarehe 14 Aprili, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Madola, Mhe. Dkt. Lazarus Chakwera, kwenye ukumbi wa mikutano wa Jaji Mkuu Makao
Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma.












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni