Jumatatu, 25 Mei 2026

IDDI NASSIBU CHUMU APUMZISHWA

Na MWANDISHI WETU-Mahakama, Dodoma

Aliyekuwa Dereva wa Mahakama ya Tanzania, Makao Makuu Dodoma, Iddi Nassibu Chumu, ambaye alifariki dunia tarehe 23 Mei, 2026, alipokuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma (General Hospital), amepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele.

Marehemu Chumu amezikwa kwenye makaburi katika Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, tukio lililohudhuriwa na mamia ya Wananchi, wakiwemo Watumishi w Mahakama ya Tanzania, na kuacha simanzi kubwa.

Ifuatayo ni sehemu ya matukio katika picha ya maziko hayo.












Hakuna maoni:

Chapisha Maoni