Jumanne, 14 Julai 2026

"TUMIENI TAALUMA ZENU KULINDA UHURU NA MASLAHI YA TAIFA," RAIS SAMIA AWAASA MAWAKILI WA SERIKALI


 Matukio katika picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) AICC- Arusha, Tarehe 13 Julai, 2026. 
Mkutano huo umehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwemo Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) kwenye Ukumbi wa  Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha tarehe 13 Julai, 2026.

Mawakili wa Serikali pamoja na Wadau wengine wa Sheria wakiwa katika Hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali (TPBA) kwenye ukumbi
wa  Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha tarehe 13 Julai, 2026 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa Mgeni Rasmi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya Viongozi wa Sekta ya Sheria. Walioketi wa pili kulia ni Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju, wa pili  kushoto ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, wa kwanza kushoto ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Said Johari na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla.

Matukio katika picha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) AICC- Arusha, Tarehe 13 Julai, 2026. 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni